Joshua 9:18

18 aLakini Waisraeli hawakuwashambulia kwa kuwa viongozi wa kusanyiko walikuwa wamewaapia kwa Bwana, Mungu wa Israeli.

Kusanyiko lote likanungʼunika dhidi ya hao viongozi,
Copyright information for SwhNEN